Tarehe ya mwisho kuripoti Kidato cha Tano 2018
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2018 wataanza muhula wa kwanza tarehe 16 Julai, 2018. Wanafunzi wote wanapaswa kuripoti katika Shule aliyopangiwa kwa muda uliopangwa. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
Post a Comment